
NEMC imeshiriki uzinduzi wa mfumo wa kidigitali wa kufuatilia uchafuzi wa mazingira(online continuous emissions monitoring System) ambao umelenga kurahisisha upatikanaji wa taarifa za uchafuzi.
Uzinduzi huo umefanyika tarehe 29 Julai 2025 Accra nchini Ghana.
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Sware Semesi ameambatana na, Afisa Sheria Mkuu NEMC Bi.Jackline Nyantori.















