Breaking

Wednesday, 30 July 2025

NEMC YASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO WA KIDIGITALI NCHINI GHANA

NEMC imeshiriki uzinduzi wa mfumo wa kidigitali wa kufuatilia uchafuzi wa mazingira(online continuous emissions monitoring System) ambao umelenga kurahisisha upatikanaji wa taarifa za uchafuzi.

Uzinduzi huo umefanyika tarehe 29 Julai 2025 Accra nchini Ghana.

Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Aware Semesi ameambatana na, Afisa Sheria Mkuu NEMC Bi.Jackline Nyantori 
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages