Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya uamisho na mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo Jumatano April 06, 2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime,imeeleza kuwa aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, SACP Onesmo Lyanga amehamishiwa Makao Makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake imechukuliwa na ACP Martin Otieno...
TAARIFA ZAIDI SOMA HAPA CHINI;

