Breaking

Sunday, 29 June 2025

Subira Mgalu Ajitosa Kinyang’anyiro cha Ubunge Bagamoyo

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum mkoani Pwani, Subira Khamis Mgalu, leo June 29,2025 amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Bagamoyo mkoani Pwani.

Mgalu amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Wilaya ya Bagamoyo na kukabidhiwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Bagamoyo,Shabani Karage.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages