Breaking

Monday, 30 June 2025

DENNIS LONDO ACHUKUA FOMU YA UBUNGE MIKUMI

Naibu Waziri anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi, amechukuwa Fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mikumi kwa awamu nyingine.

Londo amekabidhiwa Fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kilosa Ndg. Janus Mfaume tarehe 29 Juni, 2025 katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kilosa.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages