Breaking

Friday, 11 March 2022

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  leo Machi 11, 2022 ameongoza Kikao Maalum Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi Ikulu, Chamwino Jijini Dodoma.





Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages