HANDENI MJI YAFANYA BONANZA LA MICHEZO KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OKTOBA 29
OKULY BLOG
October 19, 2025
HANDENI TC Halmashauri ya Mji wa Handeni imefanya bonanza kubwa la michezo lililolenga kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki ...