Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa  na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. Wawili hao walikua wapeperushe bendera ya chama cha ACT WAZALENDO kabla ya kuwekewa pingamizi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuenguliwa katika mbio za kuwania kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: + 255 621 615 613 au +255 621 896 990



 
 
 
 
 
 
 
 
