Breaking

Friday, 6 June 2025

Wimbo Mpya : RISANDI LAIZER - NISHIKE MKONO

    

Mkali wa Injili kutoka Arusha, Risandi Laizer, ameachia rasmi wimbo wake mpya unaobeba ujumbe wa matumaini na imani unaoitwa "NISHIKE MKONO".

🎙️ Ukiwa umetayarishwa na Hits Sound Production, wimbo huu utakuinua kiroho na kukutia nguvu katika changamoto za maisha. Huu ni wimbo wa maombi, wimbo wa kumtegemea Mungu, na hakika utabarikiwa kwa kuusikiliza.

📀 Inapatikana sasa kwenye majukwaa yote ya kidigitali
✅ Boomplay
✅ Apple Music
✅ Spotify
✅ Audiomack
✅ YouTube Music
na mingine mingi!

🔗 Tazama kwenye YouTube hapa 👉 https://youtu.be/OK0HpPhtMvg?si=hVBykshVp-IjEJLQ

📞 Mawasiliano:

📱 Simu: +255 766 200 459
📧 Barua pepe: rlaizer.tz108@gmail.com

🛑 Usisahau:

❤️ Like
💬 Comment
🔁 Share kwa wengine upate thawabu ya kumpelekea mtu ujumbe wa tumaini!

 

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages