Breaking

Monday, 9 June 2025

Picha: DKT. MPANGO AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA UNOC3



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo tarehe 09 Juni 2025. 

Kulia ni Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman.










Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages