Breaking

Monday, 30 June 2025

DKT. KIBERITI ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI

   


Daktari Bingwa wa Macho
Emmanuel Alex Kiberiti ameonesha dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa kupitia Jimbo la Shinyanga Mjini kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kuwania nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.

Dkt. Kiberiti amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages