Breaking

Monday, 30 June 2025

AZZA HILAL ACHUKUA FOMU UBUNGE ITWANGI



Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limekatwa kutoka Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga.
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages