Baadhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.
Baadhi ya Wananchi mbalimbali waliohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akicheza pamoja na na Kikundi cha ngoma za asili cha Bomu kutoka Unguja wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa imefanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo tarehe 08 Machi, 2022.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Bi. Fatma Karume mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Mzee Abeid Amani Karume mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar leo Machi 08, 2022.