Breaking

Tuesday, 8 March 2022

BREAKING : RAIS MWINYI AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAPINDUZI , ATEUA MAWAZIRI




Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Machi 8, 2022 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi kwa kuigawa iliyokuwa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuwa Wizara mbili na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.









Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia langolahabari@gmail.com au WhatsaApp: +255 621 896 990

Pages